Tanzania headlines
Daily News Tanzania · United Republic of Tanzania · 2026-09-19T15:33:02+00:00
DAR ES SALAAM: Dar es Salaam recently hosted the contest for the presidency of the Federation of African Engineering Organisations (FAEO), where Engineer Erick Ohaga was elected with 83 per cent of the votes cast, securing a strong mandate to strengthen the engineering profession and position African engineers more centrally in the continent’s development agenda. … The post New FAEO President Ohaga targets stronger engineers, innovation, infrastructure and African ownership of development appeared first on Daily News .
HabariLeo · United Republic of Tanzania · 2026-09-19T15:02:38+00:00
LINDI; Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kuwa karibu na wajasiriamali wadogo nchini kwa kutoa elimu kuhusu viwango na ubora wa bidhaa, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuwawezesha kuzalisha bidhaa salama, zenye ubora na zinazoweza kushindana katika masoko ya ndani na nje ya nchi. TBS imetoa elimu hiyo katika Maonesho ya Madini na Fursa …
Daily News Tanzania · United Republic of Tanzania · 2026-09-19T13:16:33+00:00
RUVUMA: ORYX Gas Tanzania has donated 600 Liquefied Petroleum Gas (LPG) cylinders and accompanying equipment to residents of Namtumbo District, Ruvuma Region, in a move aimed at promoting the adoption of clean, safe and environmentally friendly cooking energy. Minister for Constitution and Legal Affairs, Dr Juma Homera, who is also the Member of Parliament for … The post Oryx Gas boosts clean cooking drive appeared first on Daily News .
Daily News Tanzania · United Republic of Tanzania · 2026-09-19T13:00:12+00:00
AT the shores of Lake Nyasa, beneath an old mango tree closely associated with the history of Lundo Island, domestic tourists recently encountered something more enduring than scenery: a living account of culture, tradition and memory. Gathered around the tree, they listened to island elder Vincent Tadei, popularly known as Mzee Magogo, as he recounted … The post Wonder Rooster, historic Mango tree put Lundo Island’s cultural heritage under tourism spotlight again appeared first on Daily News .
Daily News Tanzania · United Republic of Tanzania · 2026-09-19T12:29:41+00:00
DAR ES SALAAM: ALL the five news items appearing on page 13 of the Daily Blog of 17 September, had the predicted super El Niño in mind. Here they are: “Dar’s Keko strengthens flood preparedness plan”; “Chalinze launches early flood readiness campaign”; “Masauni urges ozone-friendly product choices”; “Zanzibar taps religious leaders for El Niño awareness”; … The post El Niño preparedness: Should we clean drains in time, or, on time? appeared first on Daily News .
HabariLeo · United Republic of Tanzania · 2026-09-19T12:05:57+00:00
MOROGORO: MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imekabidhi Sh bilioni 2.47 kwa wanufaika wa mapato yatokanayo na shughuli za utalii kwa mwezi Julai 2026. Akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano hayo iliyofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya TAWA mkoani Morogoro, Kaimu Kamishna wa Uhifadhi wa TAWA, Mlage Kabange, amesema Sh billioni 1,74 zimeelekezwa …
Daily News Tanzania · United Republic of Tanzania · 2026-09-19T11:08:57+00:00
TANGA: TANZANIA and Uganda have reaffirmed their plan to construct a major crude oil refinery in Tanga as part of efforts to strengthen energy security and position the region as a strategic energy hub. Ugandan President Mr Yoweri Kaguta Museveni had said the proposed refinery would be developed in Tanga through cooperation between the two … The post Tanga set for major oil refinery appeared first on Daily News .
HabariLeo · United Republic of Tanzania · 2026-09-19T10:12:02+00:00
DAR ES SALAAM; Wadau wa michezo nchini wametakiwa kusubiri ripoti ya Kamati ya Uchunguzi itakayoundwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, kuhusu mkataba wa jezi za timu za Taifa, badala ya kuanza kuzua taharuki kwamba hatua hiyo ni kuingilia shughuli za uendeshaji mpira wa miguu. Akizungumza na DailyNews Digital, kiongozi wa …
Daily News Tanzania · United Republic of Tanzania · 2026-09-19T10:00:32+00:00
COAST REGION: THE government has allocated 300m/- to compensate people whose land will be acquired for development projects in Chalinze Council, Coast Region, during the 2025/26 financial year. Member of Parliament for Chalinze and Minister of State in the President’s Office (Public Service Management and Good Governance), Mr Ridhiwani Kikwete, announced the allocation on Wednesday … The post Compensation set for Chalinze residents appeared first on Daily News .
Daily News Tanzania · United Republic of Tanzania · 2026-09-19T09:24:44+00:00
ZANZIBAR: MINISTER of State in the Office of the Second Vice-President of Zanzibar, Policy, Coordination and House of Representatives, Mr Hamza Hassan Juma, said Tanzania has been playing an important role in committees and secretariats dealing with marine and environmental matters. He said the country’s participation has enabled it to contribute to international discussions and … The post Z’bar plays key role in marine sustainability appeared first on Daily News .
HabariLeo · United Republic of Tanzania · 2026-09-19T09:07:28+00:00
PWANI: MISS Tanzania 2022, Halima Kopwe, amesema ushiriki wake katika mashindano ya Miss Kanda ya Mashariki ulikuwa hatua muhimu katika safari yake ya urembo na baadaye kumfungulia milango ya fursa mbalimbali, ikiwamo kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya kimataifa ya dunia. Halima, ambaye alitokea Mtwara na kushindana Miss Tanzania Kanda ya Mashariki, alisema hayo wakati wa …
HabariLeo · United Republic of Tanzania · 2026-09-19T08:44:30+00:00
PWANI: Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Khadija Nassir Ali, amesema serikali itaendelea kuunga mkono mashindano ya Miss Tanzania kwa kuwa yanaendana na jitihada za kukuza sanaa na kuweka mazingira ya vijana kutumia vipaji vyao kupata fursa za kiuchumi. Akizungumza kwenye uzinduzi wa Miss Tanzania Kanda ya Mashariki uliofanyika Kisemvule, Mkuranga mkoani Pwani Khadija amesema shindano …
HabariLeo · United Republic of Tanzania · 2026-09-19T08:29:37+00:00
MBEYA; SERIKALI imetoa vifaa vya ujenzi wa barabara kwa ajili ya maandalizi ya kukabiliana na mvua za El Niño mkoani Mbeya. Vifaa hivyo,ambavyo ni makaravati ya chuma vitatumika katika barabara kuu sita zinazounganisha Mkoa wa Mbeya na mikoa jirani. Akizungumza wakati wa kupokea vifaa hivyo, Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mbeya, …
Daily News Tanzania · United Republic of Tanzania · 2026-09-19T08:17:05+00:00
DODOMA: THE Weights and Measures Agency (WMA) is set to engage 19 private companies to provide measurement verification and inspection services under a publicprivate partnership (PPP) arrangement. WMA Chief Executive Officer Alban Kihulla said all 19 companies that submitted applications had passed the initial assessment, with due diligence underway before agreements are finalised. Speaking to … The post Private firms to engage in measurement verification appeared first on Daily News .
HabariLeo · United Republic of Tanzania · 2026-09-19T08:12:00+00:00
KIGOMA: Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele amewahimiza vijana wa Kitanzania kutumia mitandao ya kijamii kwa uangalifu na kuwasilisha ujumbe wenye manufaa kwa jamii na taifa. Meja Jenerali Mabele ameyasema hayo wakati akifunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Mujibu wa Sheria kupitia “Operesheni Linda Amani” na vijana …
Back to the interactive world map